HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 22, 2023

KAMATA MVUA 20 ZA AVIATOR


MERIDIANBET Kasino ya Mtandaoni imekuletea promosheni kabambe wewe mpenzi wa kucheza Aviator, kila ukirusha ndege ya Aviator unajiweka kwenye nafasi ya kuzawadiwa mvua 20 za bashiri ya bure ili kuendelea mchezo huu bomba.

Safari ya kurusha ndege ya Aviator huanza pale ambapo unaweka dau lako katika sehemu mbili kulia na kushoto kama unataka ushindi mkubwa, kisha unasubiri ndege iruke kadri ndege inavyopaa angani ndio ushindi unavyoongezeka.

Jinsi ya Kupata Mvua za Aviator/ Bashiri za Bure
Promosheni “Aviator Bonanza, beti kibao za bure” imeanza 19.05.2023 hadi 31.05.2023 na inapatikana kwa wateja wote wa Meridianbet.

Wakati wa promosheni hii, kutatokea mvua ya BASHIRI ZA BURE mara 20 kwa siku kwa wateja 10 wenye kasi zaidi kwenye Aviator kila muda kwa kubofya kitufe cha TUMIA utapatiwa bashiri za bure yenye thamani ya shilingi 1,000.

Fungua sehemu ya ‘Andika Ujumbe’ ndani ya mchezo wa Aviator, bofya alama upande wa juu kulia na, tegemea mvua ya bashiri za bure. Baada ya mteja kutumia bashiri za bure, kwenye sehemu ya orodha ya mchezo wa Aviator, atapaswa kubofya sehemu ya “BASHIRI ZA BURE” na kuchagua bashiri ya bure kama dau.

Ushindi wa odd ya 1.95 na kuendelea ndio unaweza kuwekwa kwenye akaunti ya pesa halisi. MVUA ya BASHIRI ZA BURE itashuka bila mpangalio, mara 20 kwa siku wakati wote wa promosheni ya kasino ya mtandaoni, kila mvua itanyesha kwa dakika 10.

Mara baada ya bashiri ya bure kutumika, mteja atakua na takribani dakika 10 za kuitumia bashiri ya bure kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, Ikitokea bashiri ya bure haijatumika, mteja hatoweza kuitumia tena.

N.B: Ukiachana na Aviator Bonanza, Meridianbet wanakupa mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kwa mteja mpya baada ya kujisajili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad