HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 4, 2023

WIKIENDI YA KIBABE NA MERIDIANBET

 MERIDIANBET wamedhamiria kuifanya wikiendi yako kua ya kibabe na kuhakikisha unaninyakulia mamilioni kutokana na odds kubwa ambazo wamekuwekea katika michezo mbaalimbali itakayokwenda kupigwa wikiendi hii. Usikose kubashiri na meridianbet wikiendi hii ili kuifanya kua ya kibabe.


Michezo ya Jumamosi Machi 4
Baada ya kupata matokeo ya ushindi mchezo uliopita klabu ya Manchester City watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Newcastle United iliyotoka kupoteza mchezo wa fainali wikiendi iliyomalizika, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye mvuto unaweza kubashiri kupitia meridianbet ambao wanakupa odds bomba kabisa.

Vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Arsenal ambao wametoka kuibamiza klabu ya Everton katikati ya wiki, Wikiendi hii watakua pale Emirates kuwakaribisha Afc Bournamouth Je Arsenal ataendeleza ubabe wake? Majibu yanapatikana meridianbet pale utakapoweka mkeka wako kwakua wameweka odds kubwa na za kibabe.

Chelsea wakiwa kwenye wakati mgumu zaidi michezo 15 ya mwisho wameshinda mchezo mmoja wikiendi hii watakua nyumbani kuwakaribisha Leeds United ambayo inaonekana kuanza kuimarika. Bashiri na meridianbet mchezo ukutane na odds kubwa kutoka kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri.

Brighton Hove and Albion wakiwa wametoka kupoteza mchezo wao mwisho wa ligi kuu ya Uingereza watakua nyumbani kukabiliana na West Ham United ambayo ipo kwenye wakati mgumu ikipambana kutoshuka daraja, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani na meridianbet wamekupa furasa ya kubashiri mchezo huu. Unaweza kucheza michezo ya kasino mtandaoni kupitia meridian bet na ufurahie michezo kama Poker, Roullete, sloti.

Ligi kuu ya Hispania La liga itarindima klabu ya Atletico Madrid wakiwa wametoka kusuluhu na mahasimu wao Real Madrid watashuka dimbani kuwakaribisha klabu ya Sevilla ambayo imetoka kupoteza mchezo wake wa mwisho, Unaweza kubashiri mchezo huu wa kusisimua kupitia meridianbet. Unaweza kucheza michezo ya kasino mtandaoni na ufurahie michezo kama Poker, Sloti, Roullete.

Bayern Munich mabingwa watetezi wa Ujerumani wikiendi hii watashuka dimbani kukabiliana na klabu ya Vfb Stuttgurt katika mchezo wa ligi kuu ya Ujerumani. Je Bayern Munich wataendelea na wimbi la ushindi wikiendi hii? Bashiri na meridianbet mchezo huu mkali Unaweza kucheza kasino mtandaoni na ufurahie michezo kama Poker, Roullete, Sloti

Mechi za Jumapili Machi 5
Manchester United wakiwa wametoka kushinda ubingwa wa kombe la Carabao wakiwa kwenye ubora mkubwa watakua ugenini kucheza na klabu ya Liverpool katika dimba la Anfield Liverpool ambayo inataka kurudi kwenye ubora wao, Mchezo huu mkali unaweza kubashiri kupitia meridianbet ambao wamekupa odds kubwa.

Klabu ya Real Madrid wakiwa wametoka kusuluhu mchezo wa mwisho wa La liga watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Real Betis katika mchezo utakaopigwa katika dimba la Santiago Bernabeu, Huku Real Madrid watahitaji alama tatu muhimu ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kutetea ubingwa wao. Meridianbet wameweka odds bomba

Barcelona wakiwa kwenye ubora wao kwasasa watashuka dimbani katika uwanja wao wa Camp Nou kuwakaribisha klabu ya Valencia ambayo ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja, Mchezo unatarajiwa kua wenye ushindani kwani vilabu vyote vinahitaji matokeo muhimu. Meridianbet wamekuweka odds bomba katika mchezo huu.

Ligi kuu ya Italia Serie A wikiendi hii kutakua na mchezo mkali kati ya klabu ya As Roma watakua katika dimba lao la nyumbani la Estadio Olympico wakiwakaribisha Juventus ambayo imeanza krudi kwenye ubora wake. Mchezo unaweza kuubashiri mchezo huu kupitia meridianbet,Unaweza kucheza kasino mtandaoni na ufurahie michezo kama Sloti, Roullete, Poker.

Bayern Leverkusen chini ya kocha Xabi Alonso watashuka dimbani wikiendi hii kumenyana na klabu ya Hertha Berlin katika mchezo wa ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga, Mchezo huu unaweza kubashiri kupitia merdianbet ambapo wamekuweka odds bomba na kubwa kabisa.

Ligi kuu ya Ufaransa kutakua na mchezo mkali kati ya Rennes na Olympique de Marseille ambapo Marseille wametoka kupokea kipigo kizito dhidi ya PSG wikiendi iliyomalizika, Huku Rennes wakishinda mchezo wao uliopita. Unaweza kubashiri mchezo huu mkali kupitia meridianbet ukutane na odds bomba kabisa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad