HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 7, 2023

TWCC WAWATAKA WAJASIRIAMALI KUSHIRIKI TUZO ZA VIWANDA NA BIASHARA

 

Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi  Mkazi wa Shirika la  TradeMark  Africa (TMA) Monica Hangi na Mwenyekiti wa Chama Cha Wanawake  Wafanyabiashara  Tanzania (TYCC) Mwajuma Hamza walipokua wakizungumza leo na Waandishi wa Habari hawapo pichani kwenye mkutano uliofanyika Hoteli ya Four Point zamani New Africa Jijini Dar  es Salaam.

Na Khadija Kalili
MWENYEKITI wa  Chama  Cha  Wanawake  Wafanyabiashara  Tanzania (TWCC) Mwajuma Hamza  ametoa wito  kwa wanawake wajasiriamali na wafanyabiashara  kushiriki  katika  maadhimisho  ya siku  ya wanawake  duniani  ambayo yanatarajiwa  kufanyika  Septemba  9  hadi 12 mwaka huu.

Mwenyekiti huyo wa TWCC amesema hayo leo asubuhi alipozungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofayika katika Hoteli ya Four Poi Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad