Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenyesloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulletewanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipangekukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyohuu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.
Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii
Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, nikama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidoleanasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwamoja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni yaMeridianbet:
• Promosheni ya mashindano ya Expanse - itafanyikakatika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.
•Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwakwenye APP ya simu na tovuti ya www.meridianbet.co.tz
•Wakati wa ofa, wachezaji hushindana kulingana naidadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo yawatoa huduma ya Expanse. Michezo ambayo inahusikawakati wa mashindano ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.
•Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekanasaa 24 baada ya mwisho wa mashindano.
• Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi zakasino katika viwango vifuatavyo:
•1. Nafasi ya Kwanza 250,000 TZS
•2. Nafasi ya Pili 200,000 TZS
•3. Nafasi ya Tatu 150,000 TZS
•4. Nafasi ya nne 100,000 TZS
•5. Nafasi ya Tano 100,000 TZS
• Ili bonasi ya kasino iliyokabidhiwa ihamishwe kwaakaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekezamara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwawa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juuunaoweza kutolewa ni 500,000TZS.
•Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP nakaya.
No comments:
Post a Comment