HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 25, 2023

DUKA LA KUBASHIRI LA MERIDIANBET LAZINDULIWA MTAA WA KARIAKOO FIRE

 

KAMA ilivyo ada Kampuni kubwa kabisa Tanzania ya kubashiri Meridianbet wameendeleza kampeni yao ya kuzindua maduka ya kubeti huku leo hii wakiwafikia wakazi wa Kariakoo Fire ambao nao walikuwa na uhitaji wa duka la kubetia. Duka hilo liwasaidia sana kwani litakuwa limesheni vitu mbalimbali ikiwemo huduma bora, ODDS KUBWA, Michezo ya kasino ya mtandaoni na mengine mengi.

Ukiwa unajiuliza utabeti wapi ukiwa Kariakoo.Basi nikwambie tu sehemu ni moja tu nayo ni Meridianbet pekee na sasa wapo kila sehemu huku maduka yao yakionekana kila mtaa na bado maduka yatazidi kujaa kila kukicha. 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 Baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”

Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.

Pia tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.

Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri  mubashara mechi hizo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad