HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 23, 2023

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SEKTA YA UTALII NA MAONESHO "THE Z SUMMIT"

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wakati akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua maonesho hayo leo 23-2-2023,katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Bw. Nicola Alessandro, wakati akitembelea maonesho ya Sektya ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo 23-2-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia fulana wakati akitembelea banda la maonesho la Zanzibar Padel, baada ya kuyafungua Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” yanayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharini”B” Unguja leo 23-2-2023, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo 23-2-2023, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Mhe. Rahim Bhaloo, wakati akitembelea maonesho hayo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuyafungua maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw. Rahim Bhaloo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad