Katibu
Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt John Antony
Jingu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi la Tume ya
Taifa ya Uchaguzi lililokutana leo Februari 23,2023 jijini Dodoma. Dkt
Jingu amehimiza ubunifu, Uadilifu, uwajibikaji miongoni mwa watushi na
ushiriki wa michezo kwaajili ya kuwajengea afya watumishi mahala pa
kazi.

kazi.Wajumbe
wa baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt John
Antony Jingu wakati akifungua baraza hilo.
Wajumbe
wa baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt John
Antony Jingu wakati akifungua baraza hilo.Kaimu
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Nassoro Shemzigwa (kushoto)
akiongoza baraza hilo. Kulia ni Katibu wa Baraza hilo, Livini Avith.
Wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza wakifuatilia.
Menejimenti
ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu
Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt John Antony
Jingu
Wajumbe
wa Baraza la Wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi,
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt John
Antony Jingu.Wajumbe
wa Baraza la Wafanyakazi, Manejiment na Secretarieti wakiwa katika
picha ya pamoja na Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge na Uratibu), Dkt John Antony Jingu.
No comments:
Post a Comment