Waziri wa Biashara na maendeleo ya viwanda Zanzibar Mhe Omar Said Shaaban akitembelea jengo la Shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania (TPDC) kwenye maonyesho ya bidhaa za viwanda Tanzania yanayofanyika uwanja wa maonyesho wa Mwilimu Julius Nyerere (Sabasaba) na kupewa maelezo ya kina ya mradi wa matumizi ya gesi asilia majumbani kutoka Kwa Mhandisi Eva Swila wa TPDC.
Monday, December 5, 2022

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Jengo Atembelea TPDC
Tags
# HABARI
# HABARI JAMII
HABARI JAMII
Labels:
HABARI,
HABARI JAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment