HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 11, 2022

MKURUGENZI WA NBAA AFUNGUA MAONYESHO YA WADAU WA BODI HIYO, ATEMBELEA MABANDA

 


Mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya NBAA CPA Dr Neema Kiure kuhusu historia ya Bodi hiyo wakati kufungua maonyesho yenye lengo la kuwaelimisha Wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla jinsi ya kuandaa taarifa za hesabu za Fedha, Kodi na kuwasaidia kwenye nyanja mbalimbali zinazohusu Uhasibu na ukaguzi yanayafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu mara baada ya kuwasili kwenye Banda la Bodi hiyo wakati wa kufungua maonyesho yaliyoandaliwa na Bodi hiyo yenye lengo la kuwaelimisha Wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla jinsi ya kuandaa taarifa za hesabu za Fedha, Kodi na kuwasaidia kwenye nyanja mbalimbali zinazohusu Uhasibu na ukaguzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akizungumza na waandishi pamoja na washiriki wa maonyesho yaliyoanza Leo tarehe 10 hadi 12, Novemba 2022 yaliyoandaliwa na Bodi hiyo ikiwa no mwendelezo wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Bodi hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipata maelezo kutoka kwa Meneja mawasiliano kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Eliezer Rweikiza kuhusu kazi zinazofanywa na Mamlaka hiyo wakati wa uzinduzi wa maonyesho yenye lengo la kuwaelimisha Wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla jinsi ya kuandaa taarifa za hesabu za Fedha, Kodi na kuwasaidia kwenye nyanja mbalimbali zinazohusu Uhasibu na ukaguzi yanayafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akimsikiliza Afisa Masoko Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Rhoda Mayugu alipokuwa anatolea maelezo ya kazi zinazofanywa na Shirika hilo kwenye maonyesho ya wadau wa NBAA yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya NBAA CPA Dr Neema Kiure
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipatiwa maelezo na Afisa Mwasiliano kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Sheila Mfunami kuhusu namna wanavyosajili makampuni wakati wa ufunguzi wa maonyesho yaliyoandaliwa na Bodi ya NBAA yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara kutoka UBX Rhobi Mwita alipotembelea Banda hilo wakati wa uzinduzi wa maonyesho yenye lengo la kuwaelimisha Wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla jinsi ya kuandaa taarifa za hesabu za Fedha, Kodi na kuwasaidia kwenye nyanja mbalimbali zinazohusu Uhasibu na ukaguzi yanayafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akimsikiliza Mkaguzi wa Ushirika Mkoa ofisi ya Dar es Salaam, Brighton Mwang'onda alipotembelea Banda hilo wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya wadau wa NBAA yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akimsikiliza Mkaguzi msaidizi kutoka BDO East Africa, Prince Muzamil Katunzi alipokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu kazi zinazofanywa na Kampuni hiyo wakati wa uzinduzi wa maonyesho yenye lengo la kuwaelimisha Wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla jinsi ya kuandaa taarifa za hesabu za Fedha, Kodi na kuwasaidia kwenye nyanja mbalimbali zinazohusu Uhasibu na ukaguzi yanayafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Meno kutoka EDTC Dkt. Mariam Mtanda kuhusu Huduma mbalimbali za meno wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya wadau wa NBAA yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu kwenye Banda la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa ufunguzi wa maonyesho yaliyoandaliwa na Bodi ya NBAA yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mwandamizi wa Ukaguzi kutoka KPMG, Ali Selemani wakati wa uzinduzi wa maonyesho yenye lengo la kuwaelimisha Wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla jinsi ya kuandaa taarifa za hesabu za Fedha, Kodi na kuwasaidia kwenye nyanja mbalimbali zinazohusu Uhasibu na ukaguzi yanayafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya NBAA CPA Dr Neema Kiure wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bodi hiyo kwenye maonyesho yaliyoandaliwa na Bodi hiyo


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad