HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 11, 2022

KINGAI, KAGANDA, MWAMBASHI WALA KIAPO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISII DODOMA LEO

 DCI KINGAI, KAMISHNA KAGANDA NA SACP MWAMBASHI WALA VIAPO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA, ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA UHAMIAJI JIJINI DODOMA LEO NOVEMBA 11, 2022

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza (Sheria na Uendeshaji), SACP George Mwambashi akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Novemba 11, 2022. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Ramadhani Kingai akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Novemba 11, 2022. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu wa Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Novemba 11, 2022. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji baada ya kula kiapo cha kuwa Wajumbe wa Tume hiyo jijini Dodoma leo Novemba 11, 2022. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Ramadhani Kingai, Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu wa Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda (kushoto) na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (Sheria na Uendeshaji), SACP George M

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad