HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 3, 2022

Kongamano la 26 la Tafiti lafanyika Zanzubar

Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ally Mwinyi akizungumza wakati akifungua Kongamano la 26 la Tafiti lilioandaliwa kwa ushirikiano wa Taasisi ya Utafiti ya REPOA na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar jana.  Wadau kutoka sekta mbalimbali za maendeleo ndani na nje ya nchi wameshiriki kongamano hilo.Picha na Othman Michuzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya REPOA, Dkt. Donald Mmari akizungumza wakati ufunguzi wa Kongamano la 26 la Tafiti lilioandaliwa kwa ushirikiano wa Taasisi hiyo na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar jana. Wadau kutoka sekta mbalimbali za maendeleo ndani na nje ya nchi wameshiriki kongamano hilo.
Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ally Mwinyi akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya REPOA, Dkt. Donald Mmari wakati ufunguzi wa Kongamano la 26 la Tafiti lilioandaliwa kwa ushirikiano wa Taasisi hiyo na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar jana. 
Sehemu ya Wadau kutoka sekta mbalimbali za maendeleo ndani na nje ya nchi wakifatilia kongamano hilo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad