WANAFUNZI WA CHEKECHEA WALIVYOWAAGA DADA NA KAKA ZAO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 17, 2022

WANAFUNZI WA CHEKECHEA WALIVYOWAAGA DADA NA KAKA ZAO

 


WANAFUNZI wa Chekechea katika Shule ya Joyland Schools iliyopo Kibada, Kigamboni, wakicheza ngoma ya asli wakati wa sherehe za maafali ya kuwaaga Grade one,  Darasa la saba na Kidato cha Nne yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na Muhidin Sufiani)
WANAFUNZI wa Chekechea katika Shule ya Joyland Schools iliyopo Kibada, Kigamboni, Leonald Mbogoma, akipiga kinanda kuwachezesha wenzake wimbo wa zilipendwa wakati wa sherehe za maafali ya kuwaaga Grade one,  Darasa la saba na Kidato cha Nne yaliyofanyika shuleni hapo Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na Muhidin Sufiani)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad