HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 17, 2022

RAIS SAMIA AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi km 50 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika hafla fupi iliyofanyika Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Wilaya ya Kibondo wakiwa kwenye uwanja wa mkutano kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia tarehe 16 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Nyakanazi mkoani Kagera wakati akielekea Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe wakati akihitimisha ziara yake Mkoani Geita tarehe 16 Oktoba, 2022

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Nishati January Makamba pamoja na viongozi wengine wakivuta kitambaa kuzindua miradi sita ya umeme, ikiwemo Njia ya kusafirisha umeme wa msongo Kv 220 kutoka Nyakanazi -Geita, Nyakanazi Rusumo, Kituo cha kupokea
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Wilaya ya Kibondo wakiwa kwenye uwanja wa mkutano kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia tarehe 16 Oktoba, 2022
Wasanii wa Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma wakitoa Burudani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia maji mara baada ya kuzindua skimu ya maji ya Kakonko -Kiziguzigu katika hafla iliyofanyika mlima Kanyamfisi Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilayani humo tarehe 16 Oktoba, 2022

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Wilaya ya Kibondo wakiwa kwenye uwanja wa mkutano kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia tarehe 16 Oktoba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuzindua skimu ya maji ya Kakonko -kiziguzigu katika hafla iliyofanyika mlima Kanyamfisi Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kufungua Hospitali ya Wilaya ya Kakonko tarehe 16 Oktoba, 2022

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad