Wakali wa Kikapu nchini kuchuana ufunguzi wa CRDB Bank Taifa Cup 2022 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 21, 2022

Wakali wa Kikapu nchini kuchuana ufunguzi wa CRDB Bank Taifa Cup 2022

  
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi jezi kwa wachezaji walioibuka "MVPs" katika 'CRDB Bank Taifa Cup' kwa mwaka 2020 na 2021 ambao wataunda timu zitakazochuana hapo kesho kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,  jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'. Hafla ya kukabidhi jezi hizo imefanyika leo kwenye makao makuu ya Benki ya CRDB, Upanga jijini Dar es salaam. Wachezaji hao ni Rehema Weston na Baraka Sadiki walio upande wa kulia (MVPs 2020), Noela Renatus na Alinani Thomas (MVPs 2021).

 
Katibu Mkuu wa TBF, Mwenze Kabinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji walioibuka "MVPs" katika 'CRDB Bank Taifa Cup' kwa mwaka 2020 na 2021 ambao wataunda timu zitakazochuana hapo kesho kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,  jijini Dar es salaam, ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi jezi Rehema Weston (MVP 2020) ambaye ataiongoza timu Rehema katika mchezo utakaochezwa hapo kesho kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,  jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi jezi Baraka Sadiki (MVP 2020) ambaye ataiongoza timu Baraka katika mchezo utakaochezwa hapo kesho kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,  jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi jezi Alinani Thomas (MVP 2021) ambaye ataiongoza timu Alinani katika mchezo utakaochezwa hapo kesho kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,  jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi jezi Noela Renatus (MVP 2021) ambaye ataiongoza timu Noela katika mchezo utakaochezwa hapo kesho kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,  jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad