Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Buhigwe katika ziara yake ya kikazi Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba, 2022.
Wananchi wa Buhigwe wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwahutubia Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba, 2022.
No comments:
Post a Comment