HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 10, 2022

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI KUKABIDHIWA RIPOTI YA MKUTANO WA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, Mwenyekiri wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi) Dkt.Ali Uki, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika leo 10-10-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kamati Maalum ya (Kikosi Kazi) ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, baada ya kumalizika kwa hafla ya kukabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi) wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022.

(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad