HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 4, 2022

NSSF GEITA YAZINDUA WIKI YA HUDUMA WA WATEJA KWA KISHINDO

Ofisi ya Mfuko wa Taifa  wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Geita imezindua wiki ya huduma kwa wateja 2022 kwa kishindo yenye kauli mbiu “Huduma bora Kipaumbele chetu" ambapo kwa mwafanyakazi wa NSSF Geita walijumuika na wateja waliofika ofisini hapo kusherekea  kwa pamoja wiki ya huduma kwa wateja. 

 






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad