MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA KIPANDE CHA MWANZA – ISAKA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 17, 2022

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA KIPANDE CHA MWANZA – ISAKA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kipande cha reli cha majaribio wakati alipokagua maendeleo ya Ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Amina Lumuli. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi na viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa eneo katika Stesheni ya Fela kwenye ujenzi unaoendelea wa kipande cha reli ya Kisasa ( SGR) cha Mwanza Isaka ambacho Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua Ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad