HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 26, 2022

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN FUMIO KISHIDA

 



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida, wakati walipokutana kwenye kasri la Kifalme ambalo hutumika kufanyia shughuli za Kiserikali la Asaka (Asaka Palace), jijini Tokyo, Japan, Septemba 26.2022.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida, wakati walipokutana kwenye kasri la Kifalme ambalo hutumika kufanyia shughuli za Kiserikali la Asaka (Asaka Palace), jijini Tokyo, Japan, Septemba 26.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad