Rais Samia ahutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo cha NDC, Kunduchi Jijini Dar es Salaam - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 9, 2022

Rais Samia ahutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo cha NDC, Kunduchi Jijini Dar es Salaam

 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na Wageni mbalimbali kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) yaliyofanyika Chuoni hapo Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa Cheti kama ishara ya kutunukiwa Tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) na Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Ibrahim Michael Mhona kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akipewa Tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.
. Matukio mbalimbali katika maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) yaliyofanyika Chuoni hapo Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad