Mkuu
wa Idara ya Biashara NMB, Alex Mgeni akizungumza na chama cha Wamiliki
wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Bw. Martin Massawe akielezea huduma
za bima mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo kwa chama cha Wamiliki wa
maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Meneja
wa Bima wa NMB, Bw. Adam Nsenga akiwasilisha mada kwa chama cha
Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es
Salaam, katika mkutano na benki hiyo jana kwenye Hoteli ya Johari
Rotana.
Baadhi
ya wafanyabiashara kutoka Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa
kati (TAMSTOA) wakiuliza maswali kwa maofisa wa Benki ya NMB mara baada
ya mkutano na benki hiyo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Meneja
Mwandamizi Amana Idara ya Biashara wa NMB, Lilian Malekia akizungumza
na chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini
Dar es Salaam.
Meneja
wa Huduma za Kibenki Kidijitali - NMB, Bi. Jacqueline Ntinabo
akiwasilisha mada kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati
(TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Friday, September 16, 2022

NMB yakutana na Wamiliki wa Maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment