MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KAGAME - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 7, 2022

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KAGAME

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad