HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 27, 2022

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MZEE NYAMKA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI KWA JESHI LA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI, ZIMAMOTO NA UOKOAJI

 
KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka Septemba 26, 2022, jijini Dodoma akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, Mhe. Gerson Mdemu kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi kwa Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji. Picha na Jeshi la Magereza

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad