Naibu
Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Mcha Hassan Mcha katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa TRA, alipotembelea mabanda ya Mamlaka hiyo ya mapato
katika maonesho ya kimataifa ya biashara Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi
wa TRA pamoja na Naibu kamishna mkuu wa mamlaka hiyo Ndg. Mcha Hassan
Mcha wakifanya zoezi la kuskani kinywaji ili kuhakiki ubora wa matumizi
ya bidhaa hiyo katika zoezi linaloendelea la ‘Kuhakiki Stempu’ katika
viwanja vya sabasaba. Kulia ni Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa Mlipa
kodi TRA Bw. Richard Kayombo
Naibu kamishna mkuu wa TRA, Bw. Mcha Hassan Mcha akizungumza na
baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) alipotembelea
viwanja vya maonesho ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yanayofanyika
kila mwaka Tanzania.
Monday, July 4, 2022

Home
HABARI
TRA YAHAKIKI UBORA WA MATUMIZI YA BIDHAA 'KUHAKIKI STEMPU' NDANI YA MAOENESHO YA SABA SABA
TRA YAHAKIKI UBORA WA MATUMIZI YA BIDHAA 'KUHAKIKI STEMPU' NDANI YA MAOENESHO YA SABA SABA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment