WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK.PINDI CHANA AZINDUA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MISITU YA JAMII NCHINI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 5, 2022

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK.PINDI CHANA AZINDUA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MISITU YA JAMII NCHINI

Mpango kazi huo ukioneshwa baada ya kuzinduliwa. 

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Pindi Chana (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua Mpango Kazi wa Kitaifa wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Jamii Tanzania katika hafla iliyofanyika jana Mei 5, 2022 katika Ukumbi wa Hoteli ya Morena jijini Dodoma. Mpango huu umetayarishwa na Wizara ya Maliasili na Utalii Idara ya Misitu na Nyuki kwa Ufadhili wa Shirika la Maendeleo na Ushirikiano la Uswiss ( SDC). Kutoka kushoto ni Mratibu wa Sekta Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Mwichaga, Kansela Heini Vihemaki kutoka Ubalozi wa Finland anayeshughulikia Maliasili, Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Emmanuel Mwakalukwa, Mkurugenzi Msaidizi TFCG, Emmanuel Lyimo, Afisa kutoka Wizara hiyo, Emma Nzunda na Mkurugenzi wa Utawala wa Wizara hiyo, Prisca Nzunda.
Mpango Kazi wa Kitaifa wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Jamii Tanzania ukioneshwa baada ya kuzinduliwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad