Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akinyanyua
juu Kombe la FIFA la Dunia (FIFA World Cup) litakalo shindaniwa katika
Mashindano ya Mpira wa miguu yatakayo fanyika nchini Qatar katika hafla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea
zawadi yenye mfano wa Kombe dogo la Dunia kutoka Balozi wa Kombe hilo
kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) ambaye pia ni
mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti katika
hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2022
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na
Balozi wa Kombe la Dunia kutoka (FIFA) mchezaji wa zamani wa timu ya
Taifa ya Brazil Juliano Belletti katika picha ya pamoja na wachezaji wa
zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’
No comments:
Post a Comment