HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 16, 2022

Rais Samia akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

 RAIS Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Ikulu Jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na Viongozi wengine waandamizi wa chama hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kufika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad