Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akipanda
ngazi kukagua mradi wa ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa lita Laki
tano katika kijiji cha Mwakitolya, Shinyanga Vijijini leo Mei 29,2022
mkoani
Shinyanga.
Tenki hilo ambalo tayari limeishakamilika linatarajia kuhudumia
Wananchi zaidi ya 14,000. Mradi huo unafadhiliwa na Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kwa gharama zaidi ya shilingi Milioni 364.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akikagua mradi
wa ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa lita Laki tano katika kijiji cha Mwakitolya,Shinyanga Vijijini leo Mei 29,2022 mkoani
Shinyanga.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo(Wa kwanza kushoto)
kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa KASHWASA,Mhandisi Patrick Nzamba(wa
kwanza kulia) kuhusu mradi wa ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa
lita Laki tano katika kijiji cha Mwakitolya,Shinyanga Vijijini leo Mei 29,2022 mkoani
Shinyanga.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel
Chongolo akisalimiana na Katibu wa Shina namba 9 Tawi la Mwakitolya Ndugu Amos
Yohana (kulia) alipowasili kusalimia na kuzungumza na wakati wa shina hilo, ikiwa
sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka
2020-2025 mkoani Shinyanga
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel
Chongolo akipandisha bendera ya Chama katika shina namba 9 kuashiria uzinduzi
wa shina hilo, ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezwaji wa ilani ya
uchaguzi ya mwaka 2020-2025 mkoani Shinyanga
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel
Chongolo akisalimiana na Mwenyekiti wa Shina namba 9 Tawi la Mwakitolya Mzee
Ali Matembele (kulia) alipowasili kusalimia na kuzungumza na wakati wa shina
hilo, ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi
ya mwaka 2020-2025 mkoani Shinyanga.
No comments:
Post a Comment