KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKAGUA MRADI WA UJENZI WA TENKI LA MAJI SHINYANGA VIJIJINI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 29, 2022

KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKAGUA MRADI WA UJENZI WA TENKI LA MAJI SHINYANGA VIJIJINI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akipanda ngazi kukagua mradi wa ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa lita 500 katika kijiji cha Mwakitolya, Shinyanga Vijijini leo Mei 29,2022 mkoani Shinyanga.
Tenki hilo ambalo tayari limeishakamilika linatarajia kuhudumia Wananchi zaidi ya 14,000. Mradi huo unafadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa gharama zaidi ya shilingi Milioni 364.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akikagua mradi wa ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa lita 500 katika kijiji cha Mwakitolya,Shinyanga Vijijini leo Mei 29,2022 mkoani Shinyanga.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo(Wa kwanza kushoto) kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa  KASHWASA,Mhandisi Patrick Nzamba(wa kwanza kulia) kuhusu  mradi wa ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa lita 500 katika kijiji cha Mwakitolya,Shinyanga Vijijini leo Mei 29,2022 mkoani Shinyanga.
 
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad