HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 8, 2022

Waziri wa Ulinzi na JKT wazindua ujenzi wa Wodi ya Wanawake na Watoto

Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena Tax akipiga makofi mara baada ya kuzindua  ujenzi wa wodi ya wanawake na watoto katika Hospitali ya Jeshi Mazao/ Mzinga.
Jengo la WOdi ya Wanawake na watoto lililowekwa jiwe la msingi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Kushoto) Akizungumza jambo na Meneja wa Shirika la Mzinga Brigedia Seif Hamisi (Alie Katikati) na Pembeni (Kulia) ni Kamishna wa Utafiti na Maendeleo Jeshini Meja Jenerali Othman.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad