HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 24, 2022

Absa Tanzania yakabidhi zawadi kwa mshindi wa kampeni ya Absa Card Assist ya ligi kuu ya Uingereza (EPL)

Mkuu wa Bidhaa na Mipango Mkakati wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Heristraton Genesis ( kulia ) na Meneja wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa benki hiyo, Agnes Mushi (wa pili kulia) wakikabidhi zawadi ya smart tv nchi 43 na sound system kwa Catherine Mwakisu (kushoto), akimwakilisha James Samson Babala aliyeibuka kidedea katika kampeni ya Ligi Kuu ya Uingereza iliyokwenda kwa jina la ‘Absa Card Assist’ iliyokuwa na lengo la kuhamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala mingi ya kibenki kwa kutumia kadi. Kampeni hiyo ilifanyika kuanzia tarehe 4 disemba 2021 hadi 31 januari mkwa huu. Katika makabidhiano hayo Dar es Salaam jana, mshindi pamoja na washirika wake 10 waliandaliwa sherehe fupi huku wakiangalia kupitia luninga moja ya mchezo wa ligi hiyo uliyozikutanisha timu za Arsenal na Manchester United ambapo Arsenal ilishinda kwa mikwaju 3-1.
 
Meneja wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya Absa Tanzania (Premier Center Manager), Agnes Mushi (wa tatu kulia) akikabidhi zawadi ya smart tv nchi 43 na sound system kwa Catherine Mwakisu akimwakilisha James Samson Babala aliyeibuka kidedea katika kampeni ya Ligi Kuu ya Uingereza iliyokwenda kwa jina la ‘Absa Card Assist’ iliyokuwa na lengo la kuhamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala mingi ya kibenki kwa kutumia kadi. Kampeni hiyo ilifanyika kuanzia tarehe 4 disemba 2021 hadi 31 januari mkwa huu. Katika makabidhiano hayo Dar es Salaam jana, mshindi pamoja na washirika wake 10 waliandaliwa sherehe fupi huku wakiangalia kupitia luninga moja ya mchezo wa ligi hiyo uliyozikutanisha timu za Arsenal na Manchester United ambapo Arsenal ilishinda kwa mikwaju 3-1.

Mshindi wa kampeni ya Absa Card Assist, washirika wake na baadhi ya wafanyakazi wa Absa wakishangilia wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa mshindi wa kampeni ya Ligi Kuu ya Uingereza ya ‘Absa Card Assist’ iliyokuwa na lengo la kuhamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala mingi ya kibenki kwa kutumia kadi. Kampeni hiyo ilifanyika kuanzia tarehe 4 disemba 2021 hadi 31 januari mkwa huu. Katika makabidhiano hayo Dar es Salaam jana, mshindi licha ya kukabidhiwa zawadi mbalimbali yeye pamoja na washirika wake 10 waliandaliwa sherehe fupi huku wakiangalia kupitia luninga moja ya mchezo wa ligi hiyo uliyozikutanisha timu za Arsenal na Manchester United ambapo Arsenal ilishinda kwa mikwaju 3-1.

Mkuu wa Bidhaa na Mipango Mkakati wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Heristraton Genesis (wa tatu kulia) akikabidhi zawadi ya smart tv nchi 43 na sound system kwa Catherine Mwakisu akimwakilisha James Samson Babala aliyeibuka kidedea katika kampeni ya Ligi Kuu ya Uingereza iliyokwenda kwa jina la ‘Absa Card Assist’ iliyokuwa na lengo la kuhamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala mingi ya kibenki kwa kutumia kadi. Kampeni hiyo ilifanyika kuanzia tarehe 4 disemba 2021 hadi 31 januari mkwa huu. Katika makabidhiano hayo Dar es Salaam jana, mshindi pamoja na washirika wake 10 waliandaliwa sherehe fupi huku wakiangalia kupitia luninga moja ya mchezo wa ligi hiyo uliyozikutanisha timu za Arsenal na Manchester United ambapo Arsenal ilishinda kwa mikwaju 3-1.

Meneja wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya Absa Tanzania (Premier Center Manager), Agnes Mushi (wa tatu kulia) akikabidhi zawadi ya smart tv nchi 43 na sound system kwa Catherine Mwakisu akimwakilisha James Samson Babala aliyeibuka kidedea katika kampeni ya Ligi Kuu ya Uingereza iliyokwenda kwa jina la ‘Absa Card Assist’ iliyokuwa na lengo la kuhamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala mingi ya kibenki kwa kutumia kadi. Kampeni hiyo ilifanyika kuanzia tarehe 4 disemba 2021 hadi 31 januari mkwa huu. Katika makabidhiano hayo Dar es Salaam jana, mshindi pamoja na washirika wake 10 waliandaliwa sherehe fupi huku wakiangalia kupitia luninga moja ya mchezo wa ligi hiyo uliyozikutanisha timu za Arsenal na Manchester United ambapo Arsenal ilishinda kwa mikwaju 3-1.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad