HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 25, 2022

MAJALIWA AZUNGUMZA NA MKUU WA MAJESHI WA JORDAN

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jenerali Yousef Alhunaity ambaye ni Mkuu wa Majeshi wa Jordan (The Chairman Chiefs of Staf of the Hashemite Kingdom of Jordan) baada ya kushiriki katika mkutano wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mbarouk Nassor Mbarouk. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jenerali Yousef Alhunaity ambaye ni Mkuu wa Majeshi wa Jordan (The Chairman Chiefs of Staf of the Hashemite Kingdom of Jordan) baada ya kushiriki katika mkutano wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad