Mkurugenzi wa Rasilimali watu na huduma wa Mamlaka
 ya Usafiri wa Anga Tanzania ( TCAA), Teophory Mbilinyi akizungumza  kwa
 niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo wakati wa hafla ya 
kuwatunuku   vyeti wahitimu wa Mafunzo ya Uongozaji Ndege kwa kutumia 
rada, Ufundi wa Mkanda wa kupokea Mizigo katika Viwanja vya ndege pamoja
 na Usalama katika Viwanja vya ndege   yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri
 wa Anga Tanzania (CATC).
Baadhi ya wahitimu wa kozi ya Uongozaji Ndege kwa kutumia rada wakifuatilia hotuba katika mahafali chuoni hapo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ambaye ni Mgeni Rasmi, Bw. Hamisi Amiri akizungumza
 wakati wa hafla ya kuwatunuku vyeti wahitimu wa Mafunzo ya Uongozaji 
Ndege kwa kutumia rada, Ufundi wa Mkanda wa kupokea Mizigo katika 
Viwanja vya ndege pamoja na Usalama katika Viwanja vya ndege  
 yanayotolewa na  Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC).
Kaimu
 Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC), John Ndimbo 
akizungumzia namna walivyoendesha mafunzo hayo kwa ufanisi na kwa 
kuzingatia ubora kimataifa. 
Mtaalam
 wa Uundaji wa mitaala na mafunzo kutoka Shirika la Kimataifa la Usafiri
 wa Anga Duniani (ICAO) Bw. Simon Lugaba akielezea hatua walizopitia 
katika kuusuka mtaala ambao licha ya kwamba utatumika kufundisha 
wataalam utauzwa kwa vyuo vingine na kuingizia kipato CATC.
Wahitimu wakifuatilia yanayoendelea
Kwa
 niaba ya wahitimu wote Bw. Godlove Longole ambaye ni muongozaji ndege 
muandamizi akiushukuru Uongozi wa Chuo kwa namna ilivyoaandaa na 
kuwasilisha mafunzo hayo kwao.
Picha za pamoja

No comments:
Post a Comment