SERIKALI YAAZIMIA KUENDESHA SHIRIKA LA NDEGE KWA FAIDA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 25, 2022

SERIKALI YAAZIMIA KUENDESHA SHIRIKA LA NDEGE KWA FAIDA

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Mhandisi Ladislaus Matindi, afafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Allly Possi kuhusu maboresho ya eneo la maegesho katika jengo la Makao Makuu la kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi, akizungumza na Watumishi wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), alipotembelea Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Meneja Masoko wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Ismail Mpiga akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea Ofisi za Kampuni jijini Dar es Salaam.
Msimamizi wa Kitengo cha Huduma za Wateja katika Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Paskas Samweli akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi, kuhusu shughuli za kitengo hicho wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea Ofisi za Kampuni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa ATCL, Mhandisi Ladislaus Matindi.
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi, akizungumza na Menejimenti ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) wakati alipotembelea kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Elly Ndekile akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea chuo hicho kilichopo Terminal One  jijini Dar es Salaam.
Mhandisi kutoka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Abdalah Tamimu  akimweleza Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi, namna mashine ya kuangalia matairi ya ndege inavyofanya kazi, wakati Naibu huyo alipotembelea karakana ya Kampuni hiyo jijiini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad