Mkazi wa Mtongani ashinda Milioni 10 za biko - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 25, 2022

Mkazi wa Mtongani ashinda Milioni 10 za biko

 
Mkazi wa Mtoni Mtongani, wilayani Temeke, mkoani Dar es Salaam, Ahmad Ally Mbwana, ameibuka Milionea wa biko baada ya kushinda sh milioni 10 za droo kubwa inayofanyika kila jumapili kwa kucheza live kwa kuingia www.biko.co.tz au kwa namba ya Kampuni ya 505050 na kumbukumbu namba 2456.

Biko ni mchezo unaochezwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi unachezwa kwa kufanya miamala kuanzia sh 1000 na kuendelea ambapo Watanzania wamekuwa kuanzia sh 2500 hadi Milioni 5 papo kwa hapo pamoja na droo kubwa za kila Jumapili.

Mbali na wanaocheza kwa kupitia www.biko.co.tz, pia wanaotumia simu za kawaida nao wataendelea kucheza kama zamani kwa kutumia namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu namba 2456 na wote kujishindia kuanzia sh 2500 hadi milioni tano papo kwa hapo pamoja na kuingia kwenye droo kubwa zinazofanyika kila Jumapili.


Meneja wa Bank ya CRDB Tawi la Palm Beach Primier jijini Dar es Salaam, Pendo Kitula kulia akishirikiana na balozi wa Biko Kajala Masanja kushoto kumkabidhi mshindi wao wa biko Ahmad Ally Mbwana jumla ya sh milioni 10 alizoshinda kutoka kwenye droo kubwa zinazofanyika kila Jumapili. Picha na Mpigapicha Wetu.Balozi wa Biko Kajala Masanja kushoto akifurahia jambo na mshindi wake Ahmad Ally Mbwana aliyeshinda sh milioni 10 za bahati nasibu ya Biko na kukabidhiwa jana kwenye Bank ya CRDB, Tawi la Palm Beach Primier, jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa Biko wa sh milioni 10, Ahmad Ally Mbwana, akionyesha tabasamu pana baada ya kuibuka kidedea kwenye droo kubwa ya biko iliyofanyika Jumapili. Picha na Mpigapicha wetu.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad