Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Makamu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za
Kiarabu UAE na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
mara baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayoendelea
katika Mji wa Dubai leo tarehe 26 Februari, 2022. PICHA IKULU
No comments:
Post a Comment