SERIKALI YAKABISHI PIKIPIKI 300 KWA MAAFISA UGANI WA HALMASHAURI 140 NCHI NZIMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 17, 2022

SERIKALI YAKABISHI PIKIPIKI 300 KWA MAAFISA UGANI WA HALMASHAURI 140 NCHI NZIMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka kwa niaba ya wakuu wa mikoa 25 mfano wa ufunguo wa Pikipiki zilizotolewa kwaajili ya kazi za Maafisa Ugani katika Halmashauri 140 hapa nchini. Januari 17,2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Tamisemi, Mifugo pamoja na wahusika wa sekta ya mifugo nchini wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Washauri wa Mifugo wa Mikoa na Wakuu wa Idara za Mifugo na Uvuvi kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa (Tamisemi). Januari 17,2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wizara za Mifugo na Uvuvi pamoja na Tamisemi mara baada ya kumaliza ufunguzi wa kikao kazi cha Washauri wa Mifugo wa Mikoa na Wakuu wa Idara za Mifugo na Uvuvi kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa (Tamisemi). Januari 17,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akikata utepe wakati wa kukabidhi jumla ya pikipiki 300 kwaajili ya kazi za  maafisa ugani katika Halmshauri 140 hapa nchini. Januari 17,2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akijaribu moja ya pikipiki kati ya pikipiki 300 zilizotolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwaajili ya kazi za Maafisa Ugani katika Halmshauri 140 hapa nchini. Januari 17,2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad