RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja
Jenerali Rajabu Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika leo 13-1-2022
katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja
Jenerali Rajab Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Mkuu wa Kikosi cha JKU Kanali
Makame Abdalla Daima, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo
13-1-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akipata maelezo ya Uongozi wa JKT kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la
Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele,wakati akimkabidhi
Kalenda ikiwa na picha za Wakuu wa JKT,baada ya kumaliza mazungumzo yao
alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 13-1-2022.(Picha na
Ikulu)
Thursday, January 13, 2022

Home
HABARI
RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKUU WA JKT IKULU ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKUU WA JKT IKULU ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment