Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na
Mawaziri na Naibu Mawaziri katika Kikao Kazi kilichofanyika leo tarehe 13
Januari, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Thursday, January 13, 2022

Rais Samia akutana na kuzungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment