RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZA NA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IKULU ZANZIBAR LEO 11-1-2022 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 11, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZA NA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IKULU ZANZIBAR LEO 11-1-2022

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.11-1-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.11-1-2022.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad