MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI AKABIDHIWA OFISI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 11, 2022

MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI AKABIDHIWA OFISI

 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jacobs Casthom Mwambegele jana tarehe 11 Januari, 2022 amekabidhiwa ofisi na Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Jaji Rufaa (Mst) Mhe. Semistocles Kaijage. Hafla hiyo fupi imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Wajumbe, Menejimenti na Watumishi wa Tume.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad