Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki kama ishara ya kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Thursday, January 27, 2022

Rais Samia asherehekea siku yake ya kuzaliwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment