Rais Samia akutana na Uongozi wa NMB Bank - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 24, 2022

Rais Samia akutana na Uongozi wa NMB Bank

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo - Ruth Zaipuna. Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo - Ruth Zaipuna. Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad