MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA MALAWI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 11, 2022

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA MALAWI

 MAKAMU wa Rais yupo nchini Malawi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) unaofanyika  tarehe 11-12 Januari 2022.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama MboniMpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Asubuhi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Patrick iliopo mtaa wa 11, Lilongwe Nchini Malawi. Januari 11,2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad