DKT. KAZUNGU AKABIDHI OFISI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 21, 2022

DKT. KAZUNGU AKABIDHI OFISI

 

 

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Huduma za Hazina), Dkt. Khatibu Kazungu, akikabidhi rasmi ofisi kwa Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo (Huduma za Hazina), Bi. Jenifer Omolo, jijini Dodoma.
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu, akikabidhi rasmi ofisi kwa Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo (Huduma za Hazina), Bi. Jenifer Omolo. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Mipango ya Wizara hiyo, Bw. Moses Dulle na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala wa Wizara hiyo Bw. Renatus Msangira, jijini Dodoma.
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu akizungumza jambo baada ya kukabidhi rasmi ofisi kwa Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo (Huduma za Hazina), Bi. Jenifer Omolo, katika ofisi za Wizara hiyo, jijini Dodoma. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Mipango ya Wizara hiyo, Bw. Moses Dulle.

Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Fedha na Mipango (Huduma za jamii), Bi. Jenifer Omolo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Khatibu Kazungu, wakifurahia jambo baada ya makabidhiano ya Ofisi, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad