HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 1, 2021

Ushindi wa Biko watua kwa Hashimu wa Lugoba

 Mwandishi Wetu, Chalinze.


Mkazi wa Lugoba, wilayani Chalinze mkoani Pwani, Hashimu Shabani, amekabidhiwa fedha zake sh milioni 10 alizoshinda kutoka kwenye droo kubwa ya bahati nasibu ya Biko inayoongoza kutoa washindi wengi sehemu mbalimbali za Tanzania wanaocheza kwa kuanzia sh 1000 na kuendelea.

Makabidhiano hayo yamefanyika mkoani Pwani na kuongozwa na balozi wa Biko Kajala Masanja na kusema biko ni mchezo unaosambaza mamilioni ya fedha kwa Watanzania wanaocheza live kwa njia ya mtandao www.biko.co.tz pamoja na wanaotumia namba  ya Kampuni 505050 na kumbukumbu 2456 au neno biko.

Biko ni mchezo wa kubahatisha unaoongoza kutoa fedha nyingi kwa Watanzania, ambapo zwadi za papo kwa hapo zinatoka kila sekunde moja kuanzia sh 2500 hadi milioni 5 papo hapo bila kusahau kutoa zawadi ya hadi sh milioni 40 kila Jumapili ambapo mbali na kucheza kwa namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu 2456, pia watu wanaweza kucheza live kwa kuingia www.biko.co.tz.

Balozi wa Biko Kajala Masanja kulia akifurahia jambo na Hashimu Shabani wa Lugoba mkoani Pwani aliyeshinda fedha za bahati nasibu ya Biko sh milioni 10. Makabidhiano hayo yamefanyika Kibaha, mkoani Pwani. Picha na Mpigapicha wetu.
Balozi wa Biko Kajala Masanja akiwa na mshindi wa sh milioni 10 Hashimu Shabani wa Lugoba mkoani Pwani kushoto kwake. Wengine ni marafiki wa Hashimu waliokuwa wanampongeza kwa ushindi wake. Picha ma Mpigapicha wetu.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad