Rais Samia akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar akielekea Dodoma - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 14, 2021

Rais Samia akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar akielekea Dodoma

 Rais Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipokua akiondoka kwenda Mkoani Dodoma leo tarehe 14 Desemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipokua akiondoka kwenda Mkoani Dodoma leo tarehe 14 Desemba 2021.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad