WACHEZAJI NA VIONGOZI WANAOSHIRIKI MASHINDANO YA CRDB BANK TAIFA CUP WAANZA KWA KUPIGWA MSASA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 5, 2021

WACHEZAJI NA VIONGOZI WANAOSHIRIKI MASHINDANO YA CRDB BANK TAIFA CUP WAANZA KWA KUPIGWA MSASA

 
Meneja Mwandamizi wa Huduma za Mauzo wa Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza wakati wa semina kwa wachezaji na viongozi wa timu za mikoa zinazoshiriki mashindano ya taifa ya mpira wa kikabu ya Benki ya CRDB (CRDB Bank Taifa Cup 2021), yanayoanza leo kwenye viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Semina hiyo imefanyika kwenye moja ya kumbi za Chuo Kikuu cha Dodoma huku lengo likiwa ni kukumbushana mambo mbalimbali juu ya mashindano hayo.
 
Meneja Mwandamizi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Emmanuel Kiondo akisisitiza jambo wakati wa semina kwa wachezaji na viongozi wa timu za mikoa zinazoshiriki mashindano ya taifa ya mpira wa kikabu ya Benki ya CRDB (CRDB Bank Taifa Cup 2021), yanayoanza leo kwenye viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Semina hiyo imefanyika kwenye moja ya kumbi za Chuo Kikuu cha Dodoma huku lengo likiwa ni kukumbushana mambo mbalimbali juu ya mashindano hayo.
 
Rais wa Shirikisho la mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Phares Magese akizungumza wakati wa semina kwa wachezaji na viongozi wa timu za mikoa zinazoshiriki mashindano ya taifa ya mpira wa kikabu ya Benki ya CRDB (CRDB Bank Taifa Cup 2021), yanayoanza leo kwenye viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Semina hiyo imefanyika kwenye moja ya kumbi za Chuo Kikuu cha Dodoma huku lengo likiwa ni kukumbushana mambo mbalimbali juu ya mashindano hayo.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad