Vodacom Tanzania Plc ilivyoshiriki wiki ya huduma za kifedha - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 17, 2021

Vodacom Tanzania Plc ilivyoshiriki wiki ya huduma za kifedhaKatibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba akiongea na wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo wakati wa kilele cha wiki ya huduma za Kifedha ambapo alielezewa namna ambavyo huduma za M-Pesa zimesaidia katika kuleta mapinduzi ya kidijitali katika sekta hiyo. Katikati ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Alex Bitekeye na kulia ni meneja masoko wa M-Pesa Noel Mazoya.Meneja Masoko wa M-Pesa Noel Mazoya akimuelezea Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Emmanuel Tutuba kuhusu bidhaa na huduma zinazotolewa na kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, na jinsi ambavyo zimesaidia kuipeleka Tanzania katika ulimwengu wa Kidijitali wakati wa kilele cha wiki ya huduma za Kifedha iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc Alex Bitekeye.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad