Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa akitembelea mabanda kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Kisayansi wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mtoto, Vijana na Lishe uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere, jijini Dar es salaam, Novemba 17, 2021,
T-MARC Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali ambalo limejikita katika kuboresha masuala ya afya kijamii. Kupitia bidhaa pendwa zenye viwango vya juu na zinazouzwa kwa bei nzuri sambamba na programu mbalimbali zinazo elemisha jamii juu ya maswala ya afya ya upangaji wa uzazi na afya ya uzazi kwa ujumla, maisha ya mtoto, maji na usafi wa mazingira, lishe na magonjwa ya kuambukiza/yasiyo ya kuambukiza kama vile malaria, VVU/UKIMWI na saratani ya shingo ya kizazi. Tovuti (www.tmarc.or.tz)Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete akitembelea banda la T- MARC kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Kisayansi wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mtoto, Vijana na Lishe huku akipokea maelezo mbalimbali ya bidhaa za T- MARC kutoka kwa Lilian Erasmus Mtendaji wa mauzo T-MARC
Mtaalamu kutoka T-MARC bwana Kili Masiga akitoa elimu ya matumizi ya Bidhaa ya Dume Kondom.
Mkutano wa Mwaka wa Kisayansi wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mtoto, Vijana na Lishe uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere, jijini Dar es salaam, Novemba 17, 2021,
Bwana Kili Masiga akitoa elimu ya matumizi ya Bidhaa mbalimbali kutoka T-Marc Tanzania na na mna ambavyo zinapatikana kwa urahisi mtaani.
No comments:
Post a Comment